Pages

Subscribe:

Friday, March 30, 2012

Mh Diwani Akiwa katika Mahafali Tosamaganga High School

Diwani nikitoa hotuba kwenye mahafali ambayo nilikuwa mgeni Rasmi
Jengo la utawala la Shule ya  sekondari Tosamaganga
Diwani nikiwa na mkuu wa Shule na baadhi ya viongozi na walimu wa Shule ya Tosamaganga
Wanafunzi waliohitimu wakionyesha vyeti vya juu
Hapa mgeni rasmi nakabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu

0 comments:

Post a Comment