Pages

Subscribe:

Thursday, March 22, 2012

Kilele cha Wiki ya Maji-Iringa leo

Rais Kikwete Akipata maelezo kutoka katika moja ya mabanda yaliyoshiriki wiki ya maji kitaifa yaliyofanyika katika uwanja wa samora mkoani iringa
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadau walishiriki maonyesho ya wiki ya maji kitaifa katika uwanja wa Samora mkoani Iringa
Rais Kikwete Akihutubia Katika Kilele Cha maadhimisho Ya wiki ya Maji Kitaifa mkoani Iringa Leo
Picha zote  na mdau wa Mjengwa Blog 
 

0 comments:

Post a Comment