Diwani wa kata ya Miyomboni Kitanzini Jesca Msambatavangu (kulia ) akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya ujasiriamali Rosemary Sanga mara baada ya mafunzo hayo yaliyoendeshwa na kampuni ya Dimod Intergrated Solutions and Awareness ya Sinza jijini Dar es Salaam kumalizika.
Tuesday, December 20, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment