Wakazi wa Manispaaa wakivuka Zebra kutokea Stand kuu ya Mabasi kuelekea Stand ya Daladala ya Miyomboni
Tuesday, December 20, 2011
Diwani Akizungumza na Waandishi wa Habari
JESCA MSAMBATAVANGU NI DIWANI WA MFANO
Diwani wa kata ya Miyomboni Kitanzini Jesca Msambatavangu (kulia ) akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya ujasiriamali Rosemary Sanga mara baada ya mafunzo hayo yaliyoendeshwa na kampuni ya Dimod Intergrated Solutions and Awareness ya Sinza jijini Dar es Salaam kumalizika.
Diwani wa Kata ya Miyomboni akikabidhi zawadi
Mkurugenzi wa shule ya Star na Diwani wa kata ya Miyomboni mkoa wa Iringa Jescar Msambatavangu akikabidhi zawadi kwa mfungaji bora katika mashindano ya Planet 2000
Subscribe to:
Posts (Atom)