Diwani wa kata ya Miyomboni Kitanzini Mhe.Jesca Msambatavangu (kushoto) akimkabidhi hati ya usajili wa kikundi cha ujasiliamali Anamika Msenda
Wednesday, April 18, 2012
Friday, March 30, 2012
Mtandao wa Mazingira kwa shule za Tanzania(ENO)
Mh Diwani Akiwa katika Mahafali Tosamaganga High School
Diwani nikitoa hotuba kwenye mahafali ambayo nilikuwa mgeni Rasmi |
Jengo la utawala la Shule ya sekondari Tosamaganga |
Diwani nikiwa na mkuu wa Shule na baadhi ya viongozi na walimu wa Shule ya Tosamaganga |
Wanafunzi waliohitimu wakionyesha vyeti vya juu |
Hapa mgeni rasmi nakabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu |
Friday, March 23, 2012
Thursday, March 22, 2012
Kilele cha Wiki ya Maji-Iringa leo
Rais Kikwete Akipata maelezo kutoka katika moja ya mabanda yaliyoshiriki wiki ya maji kitaifa yaliyofanyika katika uwanja wa samora mkoani iringa |
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadau walishiriki maonyesho ya wiki ya maji kitaifa katika uwanja wa Samora mkoani Iringa |
Rais Kikwete Akihutubia Katika Kilele Cha maadhimisho Ya wiki ya Maji Kitaifa mkoani Iringa Leo Picha zote na mdau wa Mjengwa Blog |
Rais Kikwete Azindua Mradi wa Maji Pawaga-Iringa
Rais Jakaya Kikwete akimpongeza mama Agnes Msavi mara baada ya kumtwisha ndoo ya maji kuashiria ukombozi kwa mwanamke kutokana na kukamilika kwa mradi huo.
Warembo wa kimasia wakiwmlaki Rais Jakaya kikwete huku wakiwa wameshikilia bendera za taifa alipowasili katika kijiji cha Itunundu.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Kamanda wa vijana mkoani Iringa Salim "Sas" Abri mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Askofu wa Dayosisi ya Ruaha Joseph Mgomi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa leo mchana, kushoto ni Askofu mstaafu wa Dayosisi ya Ruaha Dornald Mtetemela.
Rais Jakaya Kikwete akiwatunza wasanii wa kikundi cha ngoma kilichokuwa kikitumbuiza wakati alipowasili mjini Iringa leo.
Rais Jakaya Kikwete akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Iringa Dk. Christine Ishengoma kushoto mara baada ya kuwasili mjini Iringa leo, kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Grayson Rwenge.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Evarist Mangalla katika uwanja wa ndege wa Nduli.
Rais Jakaya Kikwete akipungia wananchi mkono mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli mkoani Iringa leo mchana.
Ndege iliyomleta Rais Jakaya Kikwete ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Nduli jana mchanaChanzo:Full Shangwe
Friday, March 16, 2012
Maandamano ya siku ya wanawake Duniani.
Meza Kuu Siku ya Wanawake Duniani,
Siku ya Mwanamke Duniani yafana IRINGA
Subscribe to:
Posts (Atom)